Hip Hop Emcee The Game aliwasurprise watoto wake wavulana wawili na msicha mmoja King Justice na Harlem na pamoja na msichana Cali Dream baada ya kuwatembelea shule na kuwapeleka Disneyland siku hiyo. The Game anatatoo yenye picha ya watoto wake kutoka Kat Von D, Alipiga picha akiwa mbele ya Magic Kingdom amepoa na Mickey Mouse na Goofy. Game anaweza akawa anapenda sana game la music lakini kwa watoto hakuna kitu anachokipenda kama wao.

No comments:
Post a Comment