Mama wa mtoto mmoja Beyonce jumatatu alikuwa kwenye GLAMOROUS MET GALA huko New York, Kutoka Entertainment tonight Nancy O’Dell alimpiga Beyonce picha akiwa red carpet akiwa anafanya mahojiano, huku akiwa amevalia gauni refu jeusi. Beyonce mwenye miaka 30 alimuongelea mtoto wake wa miezi minne Blue Ivy Carter ambaye alikuwa nyumbani na baba yake Jay Z na mama yake Tina Knowles.Alisema anataka kuongeza mtoto mwingine kwenye familia lakini huenda isitokee siku za karibuni “Hata hivyo nataka watoto zaidi, sijui wangapi lakini Mungu ndo anajua” Alisema Beyonce. Beyonce atarudi kwenye satge kwa mara ya kwanza karibu mwaka sasa na series shows kwa dola bilioni 2.4 Revel Resort katika Memorial Day Weekend na show ya nne imewekwa kuwa Jumatatu Mei 28.
LOVE YOU JESUS
Tuesday, May 15, 2012
Megaparties is throwing Models & Bottles Party at Club Much More
Megaparties is throwing Models & Bottles Party at Club Much More this Saturday May 12, from 10pm till late.Come join all the hottest models, top designers, and fashion bloggers & photographers from Tanzania's Fashion Industry at the sexiest party in town! We know you work hard, and deserve to play hard, so we have everything you need for a great time! Beautiful people, professional pole dancers, cocktails and a food menu, along with great music to dance the night away.
So put on your sexiest outfit and come pop bottles with Tanzania's most beautiful models.
You do not want to miss this! The sexiest party in town and a night you won't soon forget! On Saturday, 12 May, the most fashionable place to be in
Dar es Salaam will be Club Much More!
KUKESHA KESHA KAMA CNN NA BATA DAILY RIHANNA CHALI.
Mwanadadiva Rihanna a.k.a Riri "Where have you been" singer, juzi Jumatatu alipelekwa hospitalini ghafla baada ya kupata “Flu” kali sana pamoja na mwili kuwa na uchovu kutokana na bata analokula kila siku, Rihanna alipofikishwa hospitali awekewa na drip ya maji baada ya kugundulika kuwa hana maji mwilini ambako kunasababishwa pia na kutopata muda wa kupumzika.
Riri alitweet picha ya mkono wake ukiwa na drip, rafiki zake kwenye tweet walishangaa niaje mbona Rihanna atweet kwa muda mrefu coz kila minute counts Riri amezoeleka anatweet kitu. Mwaka jana alipelewa tena hospitali akiwa katikati ya tour yake.
GAME AWAPELEKA WATOTO WAKE DISNEYLAND SEHEMU INAYOPENDWA NA WATU WENGI DUNIANI.
Hip Hop Emcee The Game aliwasurprise watoto wake wavulana wawili na msicha mmoja King Justice na Harlem na pamoja na msichana Cali Dream baada ya kuwatembelea shule na kuwapeleka Disneyland siku hiyo. The Game anatatoo yenye picha ya watoto wake kutoka Kat Von D, Alipiga picha akiwa mbele ya Magic Kingdom amepoa na Mickey Mouse na Goofy. Game anaweza akawa anapenda sana game la music lakini kwa watoto hakuna kitu anachokipenda kama wao.
ASHANTI AFANYIWA MAHOJIANO NA MAMA YAKE KATIKA KUIPA HESHIMA SIKU YA MAMA DUNIANI.
Mshindi wa tuzo ya Grammy, Ashanti alikaa na mama yake kwenye mahojiano ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya mama duniani. Alikuwepo mama yake pamoja na meneja wake Tina Douglas katika mahojiano ndani ya AOL Music. Katika mahojiano this time ilikua tofauti, Tina meneja wake ndo alikua anamuuliza maswali, Alimuuliza juu ya ushauri mzuri anaompatia na akamuuliza kumuelezea mwanamke katika famila yake, Hata dada Shia alijiunga. “ Kila wakati ulinifundisha kuwa kiongozi sio mfuatajifuataji tu, niwe na maamuzi yangu” Alisema Ashanti ambaye album yake ya “BraveHeart” inatoka Juni. “ Kwa wepesi kila wakati ushauri huo nimeufuata mpaka na nashukuru sana kwa ushauri huo” Aliongeza.
WILLIAM BALFOUR AMEPATIKANA NA HATIA KWA MAUAJI YA KAKA NA MAMA WA JENNIFER HUDSON.

William Balfour mshikaji aliyekuwa akishtakiwa kwa mauaji ya mama na kaka wa Jennifer Hudson amekutwa na hatia ya kosa hilo.
Maamuzi yametolewa huko Chicago imeripotiwa na TMZ. Baada ya siku mbili ya kufuatilia case hiyo, William Balfour alifunguliwa case hiyo mwaka 2008 kwa kuua watu wawili.a
Subscribe to:
Comments (Atom)






